Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,597
- 215,270
Emotional pain huwezi kuziekezea, tunapambana nazo bila ya watu wa karibu na sisi kuekewa. Ni rahisi kumcheka mtu kuwa dune zima limejiua huelewi kilichopelekea dume zima kufanya vile.
Kuna wakati nilipitia emotional pain, nilitafuta comfort zone ya kuihandle. Red wine ilikuwa rafiki yangu kila nikitoka kazini. Hayo yalikuwa maisha yangu kwa mwaka mzima.
Nikipokuja kushtuka nilikuwa na kilo 90. Nilipata tabu asubuhi kutafuta nguo vya kuendea kazini. Nilishona vitenge vichache. Kasheshe ikawa high BP kutokana na uzito.
Wakati huo nilikuwa na nguvu ya kupigana na physical pain. Ilinichukua miezi mitatu Ilya kuondoa kilo 20. Haikuwa rahisi, gym diet na meditation.
Kila mtu ana njia yake ya kupigana na emotional pains. Lakini kujiua si jawabu la matatizo. Unawares unaiwaacha nyuma mwenza na watoto.