binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,148
- 40,885
Mabinti wenzako wote huko tunashindana kununua hisa DSE wewe unaendekeza ngono na choka mbaya shauri yako.eee Yesu hivi lamo hautaki kubadilika tu😅😅🙌,, kiukweli nimepelekewa moto tu na nimeona hakuna cha maana imenibidi nirudi kwako dada angu unistiri nianze mwanzo,, tafwazari usinitupe udugu wangu😘
Siku hizi kuna utoto uliokubuhu...Utoto ni raha sana aisee.!
nimekoma mimi jamani,, sirudii hii inakua kama last woning nakuahidi lamo😥😪 usiniseme sana naumiaaMabinti wenzako wote huko tunashindana kununua hisa DSE wewe unaendekeza ngono na choka mbaya shauri yako.
Au wewe unataka kuja kuwafanyia kazi mabinti wenzako wakulipe mshahara kwa nyodo??
Mapenzi yalikuwepo, yapo na yatakuwepo.
Tafuta maisha bora kwanza ili upate mpenzi unayemtaka bila kuteswa na uchumi..!! 😹
"Lakini hekima huthibitishwa kuwa kweli na watoto wake wote."Una maana nzuri, lakini wanawake wenye huu msimamo ni wachache sana.
Nguvu mnayo ila hamuwezi kuitumia.
Wanawake na pesa kuna siri gani hapo kati Lamama?Mkuu uko wapi tucheze hilo game, hiko kipengele cha pesa ndo ukifanyie kazi sana ili niumie ukiniacha…!!
Vitu viwili huwezi kuvitenganisha na mwanamke ni PESA & SHETANIWanawake na pesa kuna siri gani hapo kati Lamama?
Asikutishe huyo mnaowataka ni wenye fedha ila tuliopo ndio hao akina sisi hela ya gesi hatuna ila moto ni mwingi sana mpaka kitumbua kinaungua 🤣nimekoma mimi jamani,, sirudii hii inakua kama last woning nakuahidi lamo😥😪 usiniseme sana naumiaa
Kwahiyo nyie ni mashetani?Vitu viwili huwezi kuvitenganisha na mwanamke ni PESA & SHETANI
Falah weeh..!! 😹😹😹Asikutishe huyo mnaowataka ni wenye fedha ila tuliopo ndio hao akina sisi hela ya gesi hatuna ila moto ni mwingi sana mpaka kitumbua kinaungua 🤣
We unaonaje?Kwahiyo nyie ni mashetani?
Sisemi ataona yupo humu.We unaonaje?
Pesa hatuna ila moto upo wa kutosha 🤣🤣Falah weeh..!! 😹😹😹