The ghost writer
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 777
- 1,590
Nimecheka sana 😄My hope is that she's fooling the fool who think is fooling her.
dada angu mkinga ukishaskia habari za pesa nahisi unaloa kwa jasho😅😅😅😅Mkuu uko wapi tucheze hilo game, hiko kipengele cha pesa ndo ukifanyie kazi sana ili niumie ukiniacha…!!
Miezi 7 nyuma nilianzisha mahusiano nikiwa na lengo la kujichallenge, kujijenga kihisia kwa kuplay emotional game ili tuone ni nani atakayeteseka mwisho mwa mchezo.
Nikatafuta binti mrembo haswa nione jinsi nitakavyoweza kujicontrol kupenda nami nikajiweka vizuri kihandsame nione how she will react when we play the gam
Naona mtu anachezea pesa ili kutuumiza na mimi wa kuumia kuachwa nipo mdogo angu 😹😹😹dada angu mkinga ukishaskia habari za pesa nahisi unaloa kwa jasho😅😅😅😅
haya nimekukumbuka mnoNaona mtu anachezea pesa ili kutuumiza na mimi wa kuumia kuachwa nipo mdogo angu 😹😹😹
Una maana nzuri, lakini wanawake wenye huu msimamo ni wachache sana.Kwahiyo hayo ndo mahusiano? ?
Seriously nimezeeka.
So For 7 months mahusiano hayaeleweki ni ya nini! !
No marriage talk! No baby talk! No money talk! No in-laws talk. No Faith talk!
Kazi kujaza inbox tu na salamu na what are u doing zisizoisha, na sasa vipesa.
Kwakuwa your girl is stupid: she will not ask what exactly you want in her life. Shes just enjoying the attention. She's living the moment. No long term plans. Waiting to see where it goes.
My hope is that she's fooling the fool who think is fooling her.
Ulipotelea wapi Ibu jamani?haya nimekukumbuka mno
shemeji yako alikua amenifungia jamni ndo nimeachiwa huru saivi my sisy🤗Ulipotelea wapi Ibu jamani?
Kukosa hiyo avatar nisingekutambua na jina umechange..!!
Kwahiyo unaendekeza mapenzi sio maisha? 😹😹shemeji yako alikua amenifungia jamni ndo nimeachiwa huru saivi my sisy🤗
eee Yesu hivi lamo hautaki kubadilika tu😅😅🙌,, kiukweli nimepelekewa moto tu na nimeona hakuna cha maana imenibidi nirudi kwako dada angu unistiri nianze mwanzo,, tafwazari usinitupe udugu wangu😘Kwahiyo unaendekeza mapenzi sio maisha? 😹😹
Haya baada ya kufunguliwa umenunua hisa ngapi kwaajili ya future yako?
Au ndo umeishia kupelekewa 🔥 na kuchoshwa viungo vya mwili..!! 😥