Hii suala bana bado ni pana.
Most times kuna pande 2 zinazokinzana.
Mimi ushauri wangu wa kienyeji,
Humu members wamo wa kutosha,
Ingewezekana, watupe experience zao tena kwa ranges tofauti maana we know kuna waliooa/kuolewa wakiwa na bikra au la
Tena ingependeza waweke experience zao in a timely basis.
Example, walio kwenye ndoa 5 years and less, 5 to 10 years, and wa 10 years na zaidi
I think hyo itakua good demographic