Unashangaa nini,hua miaka ya waafrika wengi haiongezekagi
Mbona unalazimishwa kuzaliwa na Okwi.....???Athubutu hawezi kufanana umri na Mimi sura limekomaaa kabisa lile linanizaa
Emmanuel Okwi was born in 1987Nimeingia wikipedia leo wanasema okwi jana katimiza miaka 25 eti alizaliwa mwaka 1992 December 25, pia kumbukeni kuwa wikipedia huwa hawaandiki kwa kukurupuka pasipo kuwa na vyanzo vya Details zako, huwa wanaandika kutokana na wewe mwenyewe utakavyojielezea au kujitambulisha.
View attachment 977886
Kama Okwi ana miaka 25 sasa hivi basi mimi ntakuwa mtoto mchanga,
HIYO NI MIAKA YA KWENYE MPIRA KIONGOZINimeingia wikipedia leo wanasema okwi jana katimiza miaka 25 eti alizaliwa mwaka 1992 December 25, pia kumbukeni kuwa wikipedia huwa hawaandiki kwa kukurupuka pasipo kuwa na vyanzo vya Details zako, huwa wanaandika kutokana na wewe mwenyewe utakavyojielezea au kujitambulisha.
View attachment 977886
Kama Okwi ana miaka 25 sasa hivi basi mimi ntakuwa mtoto mchanga,
Nataka awe babanguMbona unalazimishwa kuzaliwa na Okwi.....???