Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Kada wa ACT Wazalendo, Emmanuel Ntobi ameteuliwa kuwa Naibu Msemaji wa Sekta ya Habari, Mawasiliano na TEHAMA kwenye Baraza Kivuli la ACT Wazalendo. Uteuzi huo umefanywa leo Juni 17, 2025 na Kiongozi wa Chama Dorothy Semu.
1. Amemteua Ndg. Mbarala Maharagande kuwa Waziri Kivuli wa Nishati. Kabla ya uteuzi huu Ndg. Mbarala Maharagande alikuwa Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria.
2. Amemteua Ndg Peter Madeleka kuwa Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria
3. Amemteua Ndg Thomas Sagwa Nkola kuwa Naibu Waziri Kivuli wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi
4. Amemteua Ndg Emmanuel Reuben Ntobi kuwa Naibu Waziri Kivuli Habari, Mawasiliano na TEHAMA
Ndg. Abdallah Khamis
Afisa Idara ya Habari na Mawasiliano
17 Juni, 2025.
TAARIFA KWA UMMA
Kiongozi wa Chama, Ndugu Dorothy Manka Semu leo Juni 17, 2025 kwa mashauriano na Waziri Mkuu Kivuli amefanya mabadiliko ya Kamati ya ACT Wazalendo ya Kuisimamia Serikali (Baraza Kivuli la Mawaziri). Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi Ndg. Idrisa Kweweta uteuzi umefanywa kama ifuatavyo;1. Amemteua Ndg. Mbarala Maharagande kuwa Waziri Kivuli wa Nishati. Kabla ya uteuzi huu Ndg. Mbarala Maharagande alikuwa Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria.