GE2025 Emmanuel Nchimbi: Hali ya Usalama nchini imetengemaa

GE2025 Emmanuel Nchimbi: Hali ya Usalama nchini imetengemaa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi, Emmanuel Nchimbi, akiwa wilayani Kibiti, mkoani Pwani, kwenye, amewaambia wananchi wa Wilaya hiyo kuwa katika Uongozi wa Rais Samia hali ya usalama nchini imetengemaa kutokana na maboresho makubwa yaliyofanywa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama ikiwemo kuimarisha mafunzo,vifaa pamoja na kuajiri watumishi kwenye vyombo hivyo.

"Hali ya usalama nchini imetengemaa na hiyo ni kwa sababu Rais Samia Suluhu Hassan amefanikisha"

 
Wanaongeaga hivyo hivyo kuwazuga wale wanaopandaga malori muda huo ameshatanguliza familia yake Oman
 
Siku tukisikia "mtoto wa Nchimbi" ametekwa atakuja kusema hali ya usalama nchini imetengemaa. Kila mbwa ana siku yake, na aliyepo comfortable leo aangalie kesho yake.
 
Back
Top Bottom