Emmanuel Mwakasaka: Wanaenda mpaka Bunge la Ulaya, tusiwasikilize na Mama anendelee kukaa kimya

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mbunge wa Tabora Mjini kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) Emmanuel Adamson Mwakasaka, akichangia bajeti la wizara ya maliasili na utali amegusia pia kuhusu wapinzani wao kisiasa, ambao ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kuhusu kukimbilia Bunge la Ulaya.

Huyu mwaisa gani "muntu sikajamo na simo..."
 
Mbunge wa Tabora Mjini kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) Emmanuel Adamson Mwakasaka, akichangia bajeti la wizara ya maliasili na utali amegusia pia kuhusu wapinzani wao kisiasa, ambao ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kuhusu kukimbilia Bunge la Ulaya.

Kazi ya bunge sio hiyo mbunge usijisahahu kwamba wewe ni muwakilishi wa wananchi na sio muwakilishi wa serikali wabunge wa CCM wengi akili hamna, wapinzani ni wanachi wa tanzania sio wa turuki
 
Mbunge wa Tabora Mjini kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) Emmanuel Adamson Mwakasaka, akichangia bajeti la wizara ya maliasili na utali amegusia pia kuhusu wapinzani wao kisiasa, ambao ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kuhusu kukimbilia Bunge la Ulaya.

Kwa hiyo hapo tayari kalipwa posho ya kitako kwa kuongea huo urojo?
 
Back
Top Bottom