Emirates SkyLounge

Soon SSB ataleta km hii
 
kama upo high spirit lounge au hyat huku angani...

shida hiyo lounge inauza balimi? na kitimoto
 
Nashukuru Idea yangu wameifanyia kazi fly emirates. congrats
 
Bombardier yetu IPO hivihivi!! Sure!!
 
Lazima nipande walahi!
 
Walitoa kama utani wa siku ya wajinga..sio kweli..ingawa inawezekana.
 
ngoja vioo vipasuke hivyo hewa iingie ndani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…