Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,001
- 908
Hapo Kwa kanye, 50 zote chaiMkuu una mtazamo sawa na wangu....Eminem ni Greatest of All Time. Kwa hilo sinaga mjadala hata Kidogo. Kina Notorious na Pac wanakuzwa na vifo vyao tu ila muziki wao ni below Em's.
Unaambiwa Kanye alirudia kuandika verse yake mara tatu baada ya kuingia studio na kusikiliza verse ya Eminem kwenye Forever ya Drake. Em alichora verse ile ndani ya dk 10.
50 alifuta na kuandika upya verse yake kwenye Crack a bottle.
Lil wayne alihanya sana kwendana na kasi ya mshikaji kwenye Drop a world.
Mifano ni mingi sana, hao blacks wenyewe wanaujua moto wa Eminem. Alafu unaambiwa anaandikaga kutoka kushoto kwenda kulia then next line kutoka kulia kwenda kushoto, mara kutoka chini kwenda juu yaan vagalant. Msanii pekee anachora mistari kwa mtindo wa cross-multiplication. Yaani huwezi kusoma ukaelewa.
Hip hop ina vichwa ila Em ni kichwa na robo tatu