Eminem is overrated, yes I said it

Tatizo la Eminem ni moja tu nalo ni kwamba yeye sio mtu mweusi lakini anafanya mziki ambao ni predominantly black rooted. Baadhi watu weusi wanakua wanamchukulia poa na kuanza kumfananisha na rappers ambao sio wa level zake.
 
Kiingereza kibovu sana. Kwa nini usingetumia tu kizaramo au kiswahili unakuja kuandika matapishi hapa mbele yetu?


 
Tatizo la Eminem ni moja tu nalo ni kwamba yeye sio mtu mweusi lakini anafanya mziki ambao ni predominantly black rooted. Baadhi watu weusi wanakua wanamchukulia poa na kuanza kumfananisha na rappers ambao sio wa level zake.
Dah mzee hii statement labda ungemsemea Logic.
Eminem watu weusi wanamkubali kinoma tena wanamuweka levo za juu kinoma.
kwasasaivi ukiita mablack ukawaambia wapige kura who is the best rapper alive im sure Eminem atashinda kwa kishindo.

ila mimi hiyo dhana ndo naipinga...Sawa jamaa anajua na ana flow nzuri lakini generally hana maajabu maana flow zake watu wengi wanatembea nazo hana punchline za maana,hana schemes hana uandishi wa kufikirisha
Hagusii topic za kiharakati kama BLM
Etc. etc.

Mf. Ule wimbo wa Drake-Forever ft. Kanye West,Lil wayne na Eminem
watu 90% walisema Eminem ndo ameua verse yake lakini ukiangalia lyrics amezidiwa punchline na lilwayne hata drake.

Kwa flow amezidiwa hata na Kanye maana aliflow kawaida sana maana beat liko slow akafosi kuchana fasta(hana style nyingi kama wenzake)


alichofanya ni kujisifia tu anavyojua kuchana na jinsi anavyowazidi kuchana watu wengi kwenye Verse zima...
Lakini ndo watu wakamuabudu na kusema Amefunika anajua sana

I am not a Stan(sheep)
 

nitajie rapper yoyote anayeweza kusimama na eminem kwenye rap battle mic kwa mic maana eminem ndo alikoanzia huko
 
[emoji3037][emoji3037][emoji3037][emoji106][emoji106][emoji106]
 

Mama yangu mm sipendi matusi ila you are the dumbest niggah alive!

Yaani unasema Em hana lyrics za Kufikirisha??! kawauliza Genius Lyrics
Unasema hagusi current topics kamuulize Donald Trump afu sikiliza nyimbo yake ya White America
Unasema hana flows tofauti, sikiliza Space Bound then sikiliza No Love (2 different styles)..

I mean Em is a lyrical genius...the amount of effort that dude puts in his pen and paper is outstanding. The guy ana lyrics zinazohitaji ufikiri kupita kiasi to the point he literally says "get it?" akiwa anaimba ili ujue hapa nipause nyimbo nifikirie what he meant.

Skia bwana dogo mumble rapper..,wewe mkatae Em, lakini unaowakubali wanamkubali. Hii ndo inayokupa sifa ya kuitwa taira. (samahani kwa maneno magumu ila kaka umeongea pumba sana)
 
 
'...your red sweater,your black leather,
you dress better,i rap better
That a death threat or love letter?
Think it's over a pic,I just don't like you,prick
Thanks for dissing me,
Now I had an excuse on the mic to write 'Not Alike'
But really,I don't care who's in the right
but you're losing a fight you picked...'

Eminem - Killshot
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…