Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,289
- 10,969
Kwenye kurap faster Busta na Em hawajapishana sana Chief.Ngoja nisubirie niipakue.. Niskilize mistari konki iliyosimama..Kingereza kilichotulia.
Eti nimsikilize Mpaka poda ya mzungu ili awe mweupe Kali.Jones wakati Emmy yupo!
Btw kati ya E na Busta Rhymes nani anachana haraka zaidi?
Chuma haswaaaa!
Ila hapa umenichekesha kinoma mkongwe.Eti nimsikilize Mpaka poda ya mzungu ili awe mweupe Kali.Jones wakati Emmy yupo!
Rap GodSuch a flop
Wewe sio shabiki wa Slim Shady.Tatizo Eminem anatukaripia sana mashabiki zake
Ngoja nisubirie niipakue.. Niskilize mistari konki iliyosimama..Kingereza kilichotulia.
Eti nimsikilize Mpaka poda ya mzungu ili awe mweupe Kali.Jones wakati Emmy yupo!
Btw kati ya E na Busta Rhymes nani anachana haraka zaidi?
Wewe sio shabiki wa Slim Shady.
Unajipendekeza tu.