"Ondiwo bakulio "
Unipo wakupo!!!
"Ondiwo bakulio "
akatanyukwile...Atakanyukwile tikoma
Nikugambire enough
shumwala waitu=omushuma alamwa waituKwa taarifa yako ..
Uoaji wa zamani ulikuwa wa kutorosha hata kama kuna makubaliano ya pande zote mbili ...
Kijana baada ya kulala na huyo mke alomuoa, kesho yake Alfajili alipaswa kupewa Mkuki na kuwatembelea wale anaowaheshimu na kuwasalimia kwa hiyo Salaamu "Shumaalamu waitu" Hii ilikuwa ishara ya kujiunga na wenzie walowahi kuoa kwa kutorosha binti iwe kwa makubaliano ya pande mbili au la.
Kutorosha sawa na kuiba.
Mwizi anaitwa Omushuma
Kuiba kwa kutumia lugha ya heshima ... Kushumaala.
Hacha kupotosha,hiyo salamu ya watu walio oa tayari
tafsiri yake ni..chako chavunda huku ukikipasha moto kupunguza uvundo....na hiyo ya kiswahili tafsiri yake ni...Omushuma akwatilwa amugogo na phrase ya sahihi ni ...aliyekutwa kwenye mgomba ndo mwizi wa ndizi...UKIKUTWA NA MKUNGU WE NDO MWIZI!
Chei bagila bati agamba byona kumalamu asimwa bake.Agamba byona abeiya
Kwani wananunuliwa ni bidhaa??waleteni na dada zenu tununue
Ahaaaaa lugumiOmushuma lunkunku?
Hivi Dr.Louis Shika ni Mhaya au?Ekyawe kyawe kijunda nokala!
Itakuwa asee zile swaga balaaHivi Dr.Louis Shika ni Mhaya au?