Kimsingi ktk nchi yoyote jukumu la usalama wa raia na mali zao ni la wizara ya mambo ya ndani ya nchi husika kupitia Jeshi la Polisi na vitengo vyake, sasa kama wameshindwa hiyo kazi tuanzie hapo, lakini usalama wa Taifa kwa vitukio kama hivi wanaanzaje, au kwa kuwa ni ubalozi wa US unatahadharisha raia wake dhidi ya vitendo vya uporaji basi iwe ni issue ya usalama wa taifa! kuna issues zinazohitaji awareness ya usalama wa taifa, si tu kwa kuwa ni raia wa kigeni wanaporwa porwa mikoba basi iwe shida, Wa-TZ na waafrika wangapi wanapata adha ya kila aina ktk nchini US na kwingineko and nobody gives a damn kuhusu intelligence zao kwamba hazifanyi kazi.