Emergence Loan is highly needed

Emergence Loan is highly needed

Allency

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2011
Posts
15,917
Reaction score
15,694
Habari zenu wana jf, naenda moja kwa moja kwa mada mana nko haraka kiasi,

Ok nina shida ya million moja na nitarudisha ndani ya miezi miwili yani mwezi wa kwanza nusu then wa pili namaliza hata kama ni kwa riba. Dhamana yangu ni gari caldina new model.
With thanks

Ni pm
 
Unaishi wapi?
umri Wako?
reg # ya gari?
gari imelipiwa kila kitu?
 
Namba ya gari ni T 489 ASC
Road license yake imeisha mwezi jana tarehe 27.
Picha ya gari hapa chini
 
Habari zenu wana jf, naenda moja kwa moja kwa mada mana nko haraka kiasi, Ok nina shida ya million moja na nitarudisha ndani ya miezi miwili yani mwezi wa kwanza nusu then wa pili namaliza hata kama ni kwa riba. Dhamana yangu ni gari caldina new model. With thanks Ni pm ama nicheck kwa 0713968649
tembelea mikopo finance limited kwa mikopo yote ya dharura, au piga namba 0714 726 910
 
Back
Top Bottom