Ubora wa simu hauwezi kudetermine kama mtu ana pesa au lah, kwasababu watu wanatumia simu kulingana na kazi zao na mahitaji yake.
Mara nyingi watu kama waandishi wa habari huwa na simu ambazo zinaweza support kazi zao kitu ambacho kinatoa tofauti kati ya simu ya mwanafunzi, Spy, daktari, fundi makenika, mzibua vyoo n.k
Kwahiyo kwa kuangalia hiyo meseji pamoja na uchovu wa simu havitupi picha harisi ya aliye tumiwa meseji.
Ni hayo tu wakuu.