msakahabari
Member
- Jul 6, 2012
- 29
- 8
Kuna vichaa walikuwa wanasafirishwa kwa ndege kwenda India kwa matibabu zaidi.
Wakiwa juu angani waliandaliwa eneo maalum la kuchezea mpira, sasa wakawa wanacheza mpira, bahati mbaya wakati wanacheza wakampiga na mpira mwenzao ambaye alikuwa ametulia. Jamaa kwa hasira akachukua ule mpira na kwenda hadi lango la ndege na kulifungua, akatupa mpira nje kisha akawaambia embu kachezeeni nje huko.