Embu funguka, umemsevu mchepuko wako kwa jina gani?

Kwa kua na ye ni mchepuko wala sikuhangaika kuuliza,mi mchepuko kwake,na ye mchepuko kwangu
Vitu hivi bana ukisema uchunguze usivyovijua utakutana na vinavyokukera,ni vya kujinyamazia tu
S mlishatemana lakin. Nina plan kufanya uwekezaji hapo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…