Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 18,628
- 29,075
Sina mchepuko.
Kwa kua na ye ni mchepuko wala sikuhangaika kuuliza,mi mchepuko kwake,na ye mchepuko kwanguMmmmhh ulikubaliana nae?
S mlishatemana lakin. Nina plan kufanya uwekezaji hapo .Kwa kua na ye ni mchepuko wala sikuhangaika kuuliza,mi mchepuko kwake,na ye mchepuko kwangu
Vitu hivi bana ukisema uchunguze usivyovijua utakutana na vinavyokukera,ni vya kujinyamazia tu
Naskia hutaki partnerS mlishatemana lakin. Nina plan kufanya uwekezaji hapo .
Nan mwenye roho mbaya kakudanganya hvo anataka niendelee kuumia na barid hii.Naskia hutaki partner
Naskia we padreNan mwenye roho mbaya kakudanganya hvo anataka niendelee kuumia na barid hii.
Nlitaka kuwa lakin seminarin wakanifukuza.Naskia we padre