omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
Habar wanajf naomba kuuliza namna ya kuzuia notifications za Facebook zisiingie kwenye email yangu
Mkuu nimejaribu kufanya ivo lakin badoKatika notification mojawapo iliyoingia katika e-mail nenda chini ya ujumbe halafu tafuta mahali wameandika unsubscribe yaani jiondoe halafu click na ukubaliane na maelekezo utakuwa umejiondoa kwenye kutumiwa hizo notifications.
Kivip mkuuniku unlink iyo mishe
Nenda kwenye setting za facebook kule facebook kisha jiondoe!Mkuu nimejaribu kufanya ivo lakin bado