KERO Email za Serikali (Wizara) hazijibiwi

KERO Email za Serikali (Wizara) hazijibiwi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Serikali ambayo imejaa cronies ambao hata kuwasha computer hawaui utegemee wajibu email?Mimi nimewahi Jibiwa ila sio kila wizara na idara,Ni baadhi tu.
 
Ukitaka jambo lako na hii Serikali lifanyike, tafuta mtu wa CCM au connection na mtu wa Serikali..

Email sijui Barua hazijibiwi nyingi..
 
Back
Top Bottom