Email ya PSSSF

BabaDesi

JF-Expert Member
Jun 30, 2007
6,032
3,944
Salamu wanabaraza. Nina dharura ya kuwasiliana taasisi ya akiba ya wafanyakazi ya PSSSF
Ninaomba kama kuna Mwanabaraza ama mwanachama wake hapa mwenye email Yake aniwekee hapa.
Ninatanguliza shukurani nyingi
 
Mkuu ingia kwenye website yao utaipata
 
Info@psssf.go.tz

0800110040 Call center...

Ila jiandae na majibu ya uongo kutoka kwa watoa huduma waliokosa weledi..

Hii nchi aisee sijui kwanini, acha niishie hapa..yaani ninavyosumbuka na Psssf aisee Mungu anajua
 
Back
Top Bottom