Email ya mke wa Gaddafi kwangu

Email ya mke wa Gaddafi kwangu

aisee utapeli unazidi pamba moto.
Ila pia kuna wanaoibiwa. Sio wote wajanja wa kushtukia utapeli huu.
 
hahahahaa...wameanza mapema sana.....watu wa afrika ya magharibu bhana..haibiwi mtu hapa
 
Duh, Mpwa sio dili hio ni zengwe hilo! achana nao au wape anuani za uongo! _
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom