steve111
Member
- May 29, 2015
- 91
- 58
Habar ya kazi wakuu,
Nimepata email kutoka kwa recruitment agency wakinidai niwatumie doc zangu sasa sijui kama kunamtu humu jamvini Alisha wao kupata email kama hii hapa chini au ni wababaishaji tuu.