Email kuhusu Rais wa Tz

Wengine huwa wanawaita wenzao makafiri, hivi ni jina zuri ati?

mhhh hilo nalo neno.............
ile msg iliyosambazwa wakati wa kampeni ikihusisha kumkashifu mgombea mmoja wa uraisi mbona waliotumiwa na kuforward hawakulazwa selo?
 
mzee hiyo picha naona kama unanyanyasa haki za wanyama toka lini punda akavaamiwani na kitenge?

We ndugu huyo ni punda kweli hebu mwangalie vizuri,mbona mie naona kama mbuzi? mnyama hana haki ila mwenye haki ni yule anayemfuga
 

Una habari hata hayo majina yenu ya kiislamu ni majina ya Kienyeji kwa watu wa mashariki ya kati, kwa hiyo ni bora tu mkatumia majina ya kibantu ambayo yanawatambulisha mtokako. Majina ya kibantu ni mazuri sana asikuambie mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…