Email katika nokia yangu.MSAADA

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,415
Habari zenu wadau.Tatizo langu ni kuwa napenda ku2ma na kupokea email kupitia cm yangu nokia 3120.Na pia inipe alarm kama kuna new mail received
 
embu jaribu hii njia nenda kwenye msg settings afu chagua add email weka mail yako afu itakuliza kama isearch online configuration za au mail unayo tumia.kama vile yahoo,gmail...ikimaliza itakuja sehemu ya kuweka neno la siri weka afu ndio tayari .chamsingi soma vizuri kila njia itakayo kuliza afu ufanye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…