Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
acha kutapatapaWana JF; mwenye email au namba ya simu ya Afisa Usalama wa Taifa yeyote naomba anitumie sasa hivi sasa hivi hapa.
Usalamawataifa@rocketmail.comWana JF; mwenye email au namba ya simu ya Afisa Usalama wa Taifa yeyote naomba anitumie sasa hivi sasa hivi hapa.
<br />*101*0713698405*namba ya vocha ya sh.10,000/=# nafikiri hapo utakuwa umempata usalama wa Taifa.
wewe umenichukiza, sikujua kama humu jf kuna mataaahira! Be serious bana..... Au umezoea kuuza sehemu zako za mwili through airtime..... Stop it... Itakucost*101*0713698405*namba ya vocha ya sh.10,000/=# nafikiri hapo utakuwa umempata usalama wa taifa.
Mweee kwa maelezo yako unaonekana na wwe ni afisa usalama,tehe tehe mtajulikana tu humu JF!Ofisi za Usalama wa Taifa sio kwamba zinafichwa msituni. Tuache mtazamo wa kuona Usalama wa Taifa kama KGB enzi za communist Russia. Mikoani au wilayani mara nyingi zipo jengo la ofisi la Mkuu wa Mkoa au Wilaya. Kwa hapa Dar ukienda pale karibu na Saint Peters njia ya kwenda Oysterbay utawakuta. Nyingine eneo la makuburini Kinondoni. Na makazi ya maofisa wao pale karibu na Victoria njia ya Mwenge. Maofisa wa Usalama wa Wilaya au Mkoa wanajulikana waziwazi.
Jamani, usalama wa Taifa wapo kwa ajili ya usalama wa taifa, ni watu tu wa kawaida kama sisi, wana mapungufu yao (mengi tu) na pia wana mazuri yao.
In fact unapaswa kujua wako wapi ili ukiwa na jambo ambalo unaona ni hatari kwa usalama wa taifa uweze kuwafuata na kutoa taarifa. Ni afadhali uogope kituo cha polisi zaidi ya ofisi ya Usalama wa Taifa!
Achana na mambo ya 007 James Bond na Willy Gamba. Zile ni hadithi tu.
no coment!mweee kwa maelezo yako unaonekana na wwe ni afisa usalama,tehe tehe mtajulikana tu humu jf!