Anamchezea makende Putin mwacheni akipate atakachoHuyu mzee ana maana ganiView attachment 2209867
MO akijipost anaimba, mnaulizana tajiri gani yule 😂😂Elon Ni tajiri msela Sana
huwa anapost utadhan sio tajiri[emoji16]
Muuzie eneo la makaburi ya ukoo wenuTumuuzie bara la afrika
😂😂Wabongo wanafiki sisi🤣🤣MO akijipost anaimba, mnaulizana tajiri gani yule 😂😂
Itabidi tupigwe na kitu kizito kichwani ili tukae sawa😂😂Wabongo wanafiki sisi🤣🤣
Mo anajistukia Sana[emoji4]MO akijipost anaimba, mnaulizana tajiri gani yule [emoji23][emoji23]
YaleteMuuzie eneo la makaburi ya ukoo wenu
Wewe usiyevuta tuoneshe hata Sabuni uliyowahi kutengenezaAnavuta Sana bangi zinamchanganya
African American ndivyo walivyo🤣😊😊🤣Huyu mzee ana maana ganiView attachment 2209867
Upo wapi uoneWewe usiyevuta tuoneshe hata Sabuni uliyowahi kutengeneza
Weka hapa tuone...Upo wapi uone
Wameuambia wanahitajiWeka hapa tuone...
Jifunze kuandika Vizuri.Wameuambia wanahitaji