Elon Musk asitisha mpango wa kununua Twitter

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Elon Musk ametangaza kusitisha mkataba wenye thamani ya Tsh. Trilioni 102 kununua Twitter, akisema kampuni hiyo ya mitandao ya kijamii haikumpa ushirikiano alipohitaji taarifa za akaunti ghushi katika jukwaa hilo

Mnamo Mwezi Aprili Bodi ya Twitter kwa kauli moja ilikubali kumuuzia Musk jukwaa hilo katika makubaliano ambayo yalizua utata na maswali kuhusu uhuru wa kujieleza na taarifa potofu kwenye jukwaa hilo

Aidha Mkurugenzi Mtendaji wa Tesla, atatakiwa kulipa ada ya kuvunja Mkataba ya Tsh. Trilioni 2.3 ikiwa hatakamilisha ununuzi wa mtandao huo

……………………………..


Elon Musk has said he is terminating a $44bn deal to buy Twitter, saying the social media company did not provide information about fake or spam accounts on the platform.

In a filing to the Security and Exchange Commission (SEC) on Friday, Musk’s lawyers said Twitter had failed or refused to respond to multiple requests for information on those accounts, which is fundamental to the company’s business performance.

“Sometimes Twitter has ignored Mr. Musk’s requests, sometimes it has rejected them for reasons that appear to be unjustified, and sometimes it has claimed to comply while giving Mr. Musk incomplete or unusable information,” the filing reads.

“Twitter is in material breach of multiple provisions of that Agreement, appears to have made false and misleading representations upon which Mr. Musk relied when entering into the Merger Agreement,” it also said.
Twitter did not immediately respond to requests for comment from The Associated Press and Reuters news agencies.

The company’s chairman, Bret Taylor, tweeted on Friday evening that, “the Twitter Board is committed to closing the transaction on the price and terms agreed upon with Mr. Musk and plans to pursue legal action to enforce the merger agreement”

The terms of the deal require Musk, the CEO of Tesla, to pay a $1bn break-up fee if he does not complete the transaction

Source: Al Jazeera
 
Freemason wametukosea sana kutuletea huyu jamaa nakuongoza namba moja. Jamaa kiherehere sana. Wangewaacha kina Bill gates, Warren Buffet na Carlos Slim pale juu. Enzi zao kulitulia.
 
Freemason wametukosea sana kutuletea huyu jamaa nakuongoza namba moja. Jamaa kiherehere sana. Wangewaacha kina Bill gates, Warren Buffet na Carlos Slim pale juu. Enzi zao kulitulia.
Kumbe anakuja kwa hisani!?
 
Nia yake ilikua siyo kuinunua, nia yake ilikua kuna mahasimu wake anawatafuta...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom