said Nundu JR
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 466
- 359
1. Ni Yahudi anayetumika kuuchafua Uislamu na fikra ya serikali ya kiulimwengu ya Kiislamu (Khilafah/Caliphate)
2. Baada ya kumaliza kandarasi yake sasa ameamuliwa avue makanzu na anyoe nywele na aendelee kuvaa vipensi akifurahia mafichoni au huenda ameauwa kwani ndiyo malipo ya mbwa kwa bwana wake
3. Kwamba alijilipua ili asikamatwe haya ni madai ya kutaka kuficha ukweli kuwa ISIS ni mali ya Amerika. Wanataka kuonesha Kama kwamba walikuwa ni kundi huru la kupigania maslahi ya Waislamu
4. Hatukubaliani na uvamizi wa majeshi ya kikoloni ya makafiri, mabepari katika ardhi za Waislamu na kuua hata raia mmoja wa Kiislamu hata Kama Al Baghdad amevuna alichokipanda.