Elliot Simon maarufu kama Abu Bakr Al-Baghdad

Elliot Simon maarufu kama Abu Bakr Al-Baghdad

Myahudi mmoja akaweza kuwakokota waislam wengi namna ile wamfuate basi kuna shida mahala
Hizi akili kuambiwa ni laana kwa taifa.
Nani alikwambia yuko peke yake.!!
Au basi tu na wewe umeamua kuandika utumbo bila kushirikisha kichwa
 
Mwezako anaenda Julia bikra zake 72 swaaafii
Mnyonga kiuno. We akili zako ni ngono tu.
Kwenye nyuzi za maendeleo technologies and so on inapita mbio km kituo cha polisi.
Teh teh teh.
Kuzaliwa uswahili ni shida.
 
So what? Their mission is done and and accomplished, waislamu hawawezi kushindana na wakristo, that's why all the great nations are dwelled by Christians, Mungu mkubwa sana, ingekuwaje Kama Iran ingekuwa na nguvu Kama US? Jibu liko wazi, wakristo wote wangepewa 72hours to slim, huku nuclear zikiwa zimewaelekea na yoyote atakayekaidi anafutwa kwenye uso wa Dunia.
Waislamu watabaki duni hadi kiama, Mungu anawajua vizuri mlivyo.
GOD BLESS AMERICA
Unatetea Ukafiri mbele ya kadamnasi kwa kusema wazi kabisa uovu wenu.
Nani alikwambia lengo la waislamu ni kutaka kila kafiri awe muislamu?
Wanaotugongea milango na kutugawia vitabu vyenye picha za wazungu wako kwenye bustani wakinywa Divai na yule Hollywood actor na kudai kwenda mbinguni bila satellite ni waislamu?
Tunafahamu kuwa ili uwe kafiri lzm IQ yako iwe messed up lkn yours is beyond that.
 
Kasome nyaraka alizovujisha spy wao Snowden. Kila kitu wazi kabisa. Jisomee na hii article iliyoenda shule...

Hizi habari zaweza kuwa sahihi lakini issue inakuja hawa mafirauni Wa ISIS, boko haramu, alqaida and the like wanapata uungwaji mkono mkubwa Wa waislamu wenyewe na kiasi cha kufurahishwa na wayatendayo hasa wakiwatendea wasio waislam na maeneo mengine wanatendeana wao kwa wao.
Kwanini waislam ulimwenguni kama hawako behind huu ufirauni hawaukemei?
 
Mbona unashambulia watu tena?
Aaahhh
Dunia ina mengi hii!
Mnyonga kiuno. We akili zako ni ngono tu.
Kwenye nyuzi za maendeleo technologies and so on inapita mbio km kituo cha polisi.
Teh teh teh.
Kuzaliwa uswahili ni shida.
 
Wote mnatetea dini zenu tofauti mmoja yupo uarabuni na mwingine ulaya akitetea pande za afrika,
Zidumu fikra za waarabu na wazungu katika kuharibu bongo za waafrika
Unatetea Ukafiri mbele ya kadamnasi kwa kusema wazi kabisa uovu wenu.
Nani alikwambia lengo la waislamu ni kutaka kila kafiri awe muislamu?
Wanaotugongea milango na kutugawia vitabu vyenye picha za wazungu wako kwenye bustani wakinywa Divai na yule Hollywood actor na kudai kwenda mbinguni bila satellite ni waislamu?
Tunafahamu kuwa ili uwe kafiri lzm IQ yako iwe messed up lkn yours is beyond that.
 
1. Ni Yahudi anayetumika kuuchafua Uislamu na fikra ya serikali ya kiulimwengu ya Kiislamu (Khilafah/Caliphate)

2. Baada ya kumaliza kandarasi yake sasa ameamuliwa avue makanzu na anyoe nywele na aendelee kuvaa vipensi akifurahia mafichoni au huenda ameauwa kwani ndiyo malipo ya mbwa kwa bwana wake

3. Kwamba alijilipua ili asikamatwe haya ni madai ya kutaka kuficha ukweli kuwa ISIS ni mali ya Amerika. Wanataka kuonesha Kama kwamba walikuwa ni kundi huru la kupigania maslahi ya Waislamu

4. Hatukubaliani na uvamizi wa majeshi ya kikoloni ya makafiri, mabepari katika ardhi za Waislamu na kuua hata raia mmoja wa Kiislamu hata Kama Al Baghdad amevuna alichokipanda.

Hizi imani zenu ni shida kwa wengine,ila wengine wanawavumilia kwa kuwaambiwa ukipigwa shavu la kushoto mgeuzie la kulia ili kuleta amani na utulivu sio shali
 
Wote mnatetea dini zenu tofauti mmoja yupo uarabuni na mwingine ulaya akitetea pande za afrika,
Zidumu fikra za waarabu na wazungu katika kuharibu bongo za waafrika
Mi nashangaa upande wa wapagan toka aondoke Kingunge Ngombale Mwilu hakuna mtetezi tena wa kuapa bila vitabu vya dini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom