B billz949 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 311 Reaction score 73 Jun 29, 2020 #1 Wanajamvi nina coin hapa nimesikia ina thamani kubwa sana.Please yoyote anaejua tujuzane.Cheki picha kisha comment unachokijua.....ila iwe fact.
Wanajamvi nina coin hapa nimesikia ina thamani kubwa sana.Please yoyote anaejua tujuzane.Cheki picha kisha comment unachokijua.....ila iwe fact.
Sirdirashy JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 3,252 Reaction score 3,073 Jun 29, 2020 #2 Hamna kitu hapo
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,805 Reaction score 61,660 Jun 29, 2020 #3 Njaa mbaya sana
1 to 10 Senior Member Joined Apr 24, 2020 Posts 161 Reaction score 227 Jun 29, 2020 #4 Jua Tu zile hela zinazosemwaga zinanunuliwa Kwa hela nyingi huwa ni kulingana na thamani ya madini yaliitengeneza hiyo coin tu Sema matapeli huitumia kama mwanya wa kuwapigia watu Kuwa mwangalifu ndugu!
Jua Tu zile hela zinazosemwaga zinanunuliwa Kwa hela nyingi huwa ni kulingana na thamani ya madini yaliitengeneza hiyo coin tu Sema matapeli huitumia kama mwanya wa kuwapigia watu Kuwa mwangalifu ndugu!
Phlagiey JF-Expert Member Joined Oct 26, 2013 Posts 3,499 Reaction score 1,687 Jun 29, 2020 #5 Huko ulikosikia wanasema inathamani umesikia wanasema thamani yake ni kiasi gani?
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 46,247 Reaction score 56,910 Jun 29, 2020 #6 Imebidi nicheke[emoji16][emoji16][emoji16]. Utakuja kutapeliwa