UMBALI WA KUTOKA MBEYA MJINI MPAKA TUKUYU NI 42KM NA GARI HUWA ZINATUMIA MASAA 2 IKUMBUKWE KUWA BARABARA NI LAMI TUPU...SASA HUYO KIPCHOGE KAKIMBIA MASAA 2 KASORO huyo SIYO mtu Wa kawaida itakua wanatumia madawa hao bwanaJana nimepata message nyingi watu wakita kujua kati ya KIPCHOGE na BOLT nani zaidi! hivyo leo ninaweka analysis kidogo kuhusu hawa wawili na nani ni mkali zaidi!
Usain Bolt wa Jamaica na Eliud Kipchoge wa East Africa ni wababe wawili wa kukimbia duniani. Bolt ambaya amestaafu karibuni alikuwa bingwa wa kukimbia mbio fupi aliyeweka record na pia Kipchoge wa East Africa ni bingwa wa marathion aliyeweka record hivi karibuni.
Usain Bolt’s record yake katika mita 100-ni at 9.58 seconds wakati Eliud Kipchoge’s record yake katika marathon ya ni 1:59:40.
Kama tukijaribu kufananisha hypothetically, kwa Usain Bolt kusustain same speed kwa mbio za marathon inamaanisha angeweza kumaliza marathon ndani ya 1:07:22 (Almost nusu ya muda wa KIPCHOGE)! Je hii inamaanisha nini? BOLT ni zaidi ya KIPCHOGE?
HAPANA Haimaanishi hivyo, Marathon is not all about super speed, but kusustain na kukimbia umbali mrefu tofauti na mbio fupi ambazo BOLT ameweka record. Kwa hiyo watu hawa wawili ni mabingwa katika mbio lakini huwezi sema yupi ni zaidi ya yupi. Kila mmoja ni mzuri katika umbali wake.
..
UMBALI WA KUTOKA MBEYA MJINI MPAKA TUKUYU NI 42KM NA GARI HUWA ZINATUMIA MASAA 2 IKUMBUKWE KUWA BARABARA NI LAMI TUPU...SASA HUYO KIPCHOGE KAKIMBIA MASAA 2 KASORO huyo SIYO mtu Wa kawaida itakua wanatumia madawa hao bwana
UMBALI WA KUTOKA MBEYA MJINI MPAKA TUKUYU NI 42KM NA GARI HUWA ZINATUMIA MASAA 2 IKUMBUKWE KUWA BARABARA NI LAMI TUPU...SASA HUYO KIPCHOGE KAKIMBIA MASAA 2 KASORO huyo SIYO mtu Wa kawaida itakua wanatumia madawa hao bwana
kaka tena hizo ni kosta hii SIYO hadithi ya kusadikika uliza MTU yeyote aliewahi kusafiri route hii atakuambiaYaani gari inatembea 21km kwa saa nzima
Mkuu una uhakika kuwa ni gari hiyo au punda
Yaani kila lisaa limoja inaenda kilometer 21 tu? Au dakika 20 inaenda kikometre 7 tu? Tuseme kwa hapa Dar Umbali wa Posta mpaka Makumbusho kweli? Ni barabara ya aina gani hiyo? Au foleni Sana nini?UMBALI WA KUTOKA MBEYA MJINI MPAKA TUKUYU NI 42KM NA GARI HUWA ZINATUMIA MASAA 2 IKUMBUKWE KUWA BARABARA NI LAMI TUPU...SASA HUYO KIPCHOGE KAKIMBIA MASAA 2 KASORO huyo SIYO mtu Wa kawaida itakua wanatumia madawa hao bwana
Moshi Same kilomita 42? Nani kakwambia??Umbali wa kutokea moshi mjini - same. Jamaa katisha.
HUo utakua mkokoteni na sio gari. Moshi to Arusha ni KM 80 ukienda na gari unatumia 1 hr. So how come km 42 for 2hrs?UMBALI WA KUTOKA MBEYA MJINI MPAKA TUKUYU NI 42KM NA GARI HUWA ZINATUMIA MASAA 2 IKUMBUKWE KUWA BARABARA NI LAMI TUPU...SASA HUYO KIPCHOGE KAKIMBIA MASAA 2 KASORO huyo SIYO mtu Wa kawaida itakua wanatumia madawa hao bwana
sina ujuzi Wa magari mi huwa napanda na kushuka kwa hiyo Kama hivyo ndivyo unasema BASI huenda ikawamagari ya mbeya yatakuwa yanamatatizo mkuu!
we endelea na calculations mzee ila jibu ni 2hrsHUo utakua mkokoteni na sio gari. Moshi to Arusha ni KM 80 ukienda na gari unatumia 1 hr. So how come km 42 for 2hrs?
kaka tena hizo ni kosta hii SIYO hadithi ya kusadikika uliza MTU yeyote aliewahi kusafiri route hii atakuambia
huku hakuna foleni chief labda ndivyo kulivyo umbwa ...tehYaani kila lisaa limoja inaenda kilometer 21 tu? Au dakika 20 inaenda kikometre 7 tu? Tuseme kwa hapa Dar Umbali wa Posta mpaka Makumbusho kweli? Ni barabara ya aina gani hiyo? Au foleni Sana nini?
Labda hizo gari za huko kwenu ni tofauti kidogowe endelea na calculations mzee ila jibu ni 2hrs
Yaani gari inatembea 21km kwa saa nzima
Mkuu una uhakika kuwa ni gari hiyo au punda