Home tutor Dar
Senior Member
- Feb 23, 2025
- 126
- 156
#Repost @tanganyikaschools with @let.repostATTENTION ATTENTION ATTENTION ATTENTION
Mwalimu aliye tyri kufundisha Cambridge curriculum year6.
Mwanafunzi yuko dar seabreeze apartment.
Kwa wiki sikutano sawa na siku20 kwa mwezi na kama upo tyri kulipwa kwa siku20.za mwezi 160,000 basi njoo inbox.
ATTENTION ATTENTION ATTENTION ATTENTIONWanafunzi wanatakiwa kupumzika.siyo atoke shuleni tena aende tuition .Hapo ni kuuchosha ubongo.
5 days in a weekMkuu 160K kwa mwezi ???
This is peanut boss. Raise your pay to at least $500 per month.No sorry in a week
ATTENTION ATTENTION ATTENTION ATTENTIONThis is peanut boss. Raise your pay to at least $500 per month.
Weka offer sasa , wewe unahitaji una uwezo Gani ama mwisho wako wa mfuko ukojeATTENTION ATTENTION ATTENTION ATTENTION
Tunahitaji Mwalimu ambaye mtaaalamu wa kufundisha lugha ya Kijerumani (German language)
Kwaaji ya kufundisha course ya nyumbani lugha ya Kijerumani.
Mwalimu anatakiwa awe anajua stages zote za lugha ya Kijerumani yaani (A1,A2 n.k)
Location:
Mwalimu anatakiwa awe mwenyeji wa mtwara wilayani masasi eneo la mtandi.
Mawasiliano
:0659169709/0748650405(call or WhatsApp sms)
Mwisho wa Tangazo hili ni jumamosi wiki hii tarehe19 july 2025.
Tuwasiliane namba 0748808041 ido teach or give me your numberATTENTION ATTENTION ATTENTION ATTENTION
Mwalimu aliye tyri kufundisha Cambridge curriculum year6.
Mwanafunzi yuko dar seabreeze apartment.
Kwa wiki sikutano sawa na siku20 kwa mwezi na kama upo tyri kulipwa kwa siku20.za mwezi 160,000 basi njoo inbox.
ATTENTION ATTENTIONOr 0679747922 contact me
8000 ndugu...naona zama za graduates kuchunga mbuzi zilifika kitamboo160,000 per day?
Loh. Mkuu hapo si itaishia kwenye nauli.8000 ndugu...naona zama za graduates kuchunga mbuzi zilifika kitamboo