Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,734
- 6,292
Na wewe je?!Weka Swahili version. Ndalichako English inampa taabu sana kuelewa
Tofauti ya Ndalichako na Dorothy Gwajima siioni .
Miaka hii miwili Tanzania imegeuza dishi kimaajabu sana
Wee ulikuwa wapi mkuu? Nchi hii kweli?When did Tanzania start denying girls access to public education?! Kweli kuna watu hawalitakii mema taifa hili.
Don't we have girls in public education institutions?! Unakubaliana na hao waliotaka Tanzania ionekane machoni pa dunia kama Afghanstan ilivyokuwa chini ya Taliban?Wee ulikuwa wapi mkuu? Nchi hii kweli?
With reversed toungsTofauti ya Ndalichako na Dorothy Gwajima siioni .
Miaka hii miwili Tanzania imegeuza dishi kimaajabu sana
Dorothy Gwajima + Prof ndalichako + SSH = ????????Tofauti ya Ndalichako na Dorothy Gwajima siioni .
Miaka hii miwili Tanzania imegeuza dishi kimaajabu sana
kwani mimi ndiyo kioo cha Ndalichako?Na wewe je?!
Don't we have girls in public education institutions?! Unakubaliana na hao waliotaka Tanzania ionekane machoni pa dunia kama Afghanstan ilivyokuwa chini ya Taliban?
Swali langu ni kama hatuna wasichana wanaosoma kwenye shule za serikali. Au hiyo kauli hapo chini wewe umeielewa vipi!Unazungumzia kina nani, au hawa waliotupa chanjo tukaipokea huku tukiwaita mabeberu?
0x0x0 = 0Dorothy Gwajima + Prof ndalichako + SSH = ????????
Don't we have girls in public education institutions?! Unakubaliana na hao waliotaka Tanzania ionekane machoni pa dunia kama Afghanstan ilivyokuwa chini ya Taliban?