MFARIJI MALEKELA
New Member
- Oct 2, 2015
- 4
- 0
jamani naitwa mfariji malekela napatikana makambako nilimaliza kidato cha nne mwaka 2012 nakupata ufaulu wa dvsion 4 point 29 yaan masomo ya sayanc nilipata d pamoja na Kiswahili englsh na cvc naombeni ushaur nijiunge na chuo gani plz