K KG.KASELO JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 252 Reaction score 20 Aug 28, 2016 #1 Elimu yetu inaitaji maboresho makubwa sana, ikiwemo mishahara ya watumishi wa u walimu pamoja mazingira ya kuishi.
Elimu yetu inaitaji maboresho makubwa sana, ikiwemo mishahara ya watumishi wa u walimu pamoja mazingira ya kuishi.
mwakasongoro Member Joined Aug 4, 2016 Posts 51 Reaction score 17 Aug 28, 2016 #2 Hapo ni kweli walimu wanaishi ktk mazingira magumu sana
DEPETERO JF-Expert Member Joined Jul 29, 2016 Posts 815 Reaction score 589 Aug 28, 2016 #3 Wangepewa hata ration kidogo,japo wamekuwa wavumilivu nashauri waistue kidogo jamhuri.