Ningependa kupendekeza elimu yetu iwe yenye kuwaruhusu wanafunzi kujisomea wenyewe,kuchunguza topic,kuja na findings na kuweka hitimisho wenyewe.....
Sio mfumo wa sasa ,ambao unatu spoon feed us,unaencourage ku cream,unakuta kaam ni history essay,darasa zima linaandika sentesi zinazofanana....wamecream mpaka nukta....ππππ