Hivi vibao vinachorwaga na kuandikwa na artist na maatirst wengi shule hamna, Yaani kashindwa hata kunakili kwenye karatasi aliyopewa! Ila hata mkuu wa site hakukagua? Hili ni kosa la uongozi! Iweje utoe kazi ushindwe kukagua kama imefanywa kwa ufasaha? Huu ndio uzembe ambao unaturudisha nyuma! Na hii inareflect hata huo ujenzi unaofanyika hapo ni bure.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.