mie naona tusihangaike na walimu wa juu…
huku chini watu wafundishwe independent learning,
culture ya kukariri ibadilishwe taratiibu,kwa kufundisha vidudu na primary kujisomea vitabu…
mtoto akiwa anasoma vitabu,knowledge yake inaongezeka kila anavyokua,
akifika form six ni mtu anauejielewa haswaa…
akienda chuo anakua expert!
na hata asipoenda chou,still ana knowledge ya kutosha..