Elimu yetu ina vituko!

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,978
5,025
Kuna mwanafunzi alikuwa wa mwisho kwenye mtihani, wazazi walikasirika sana! Walipomuuliza kwa nini umekuwa wa mwisho, akawajibu: anayekuwaga wa mwisho hakufanya mtihani. Wazazi wakabaki midomo wazi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom