elimu ya watu wazima tanzania.

elimu ya watu wazima tanzania.

Joined
Jul 24, 2013
Posts
32
Reaction score
8
juhudi za Mwalimu Nyerere kilikuwa ni kuhakikisha watanzania wote wanajua kusoma na kuandika, nimesoma hobuta yake ya Elimu Haina Mwisho ya mwaka 1969. 12. 31, nilliona neno " matokeo makubwa" na ndipo nihisi hata BRN tuyoikopa Malaysia waliichukua kwetu katika miaka hiyo.

ndugu wasomi na wataluma wa elimu naomba kuuza watendaji wetu katika sector ya Elimu na mipango huwa mnatabia ya kusoma hotuba hii na kuitafakali kabla ya kuandika Sera na mipango ya kisecta?
umri wangu ni miaka 27 tu na mhitumu wa shahada ya kwanza katika elimu ya watu wazima kutoka IAE.
 
Back
Top Bottom