Elimu ya unajimu

Kwa nini jua liwe sayari na si nyota?

Clearly jua ni nyota inayozungukwa na sayari. Na mwezi ni satellite inayozunguka dunia. Na dunia ni sayari inayozunguka jua.

Kwa nininuziite zote hizi sayari wakati nenonsayari lina maana yake specific?

Nikisema astrology ni primitive astronomy kama alchemy ilivyo primitive chemistry nitakuwa nakosea?
Labda nikueleze kwa nini sun na moon tunazihesabu kama Planets na sio other celestial bodies.

Ni hivi; kwenye astrology jua linafanya transit kama zinavyofanya sayari zingine. Yaani zinashift kutoka sign moja kwenda nyingine na zina move kutoka one house to the next house. Kwa sasa jua lipo katika sign ya Cancer (kaa) ambayo siku 3 mbele jua linajiandaa kuingia katika sign ya Leo (Simba).

Na mwezi nao unashift kama zinavyoshift katika sayari nyingine.

Halafu ujue kwamba ilianza astrology kisha ikafuata astronomy.
 
Mnaharibu hilo neno planet.

Kila kitu in the universe kina shift. Asteroids, comets, chunks of ice, moons,dust.

Dust nayo ni planet?

Why are you calling different celestial bodies planets while they are not?
 
Hizo asteroid na comets zina trans kwenye njia gani.?

Unazielewa zodiac house vizuri lakini. Tusije tukawa tunaongea lugha mbili tofauti.?
 
Hizo asteroid na comets zina trans kwenye njia gani.?

Unazielewa zodiac house vizuri lakini. Tusije tukawa tunaongea lugha mbili tofauti.?
Kila kitu kwenye universe kina move,, hata space yenyewe ina expand.

Sasa mnatumiaje kigezo cha trans kusema jua ni sayari wakati hata asteroids na comets zina trans?

Kwa nini mnaharibu neno planet ambalo lina maana tayari? kwa nini msitumie neno lenu tofauti?
 
1.kwanini unafikiri kututaka tujifunze unajimu..?

2.elimu ya unajimu inauhusiano gani na sayansi..?

3.kuna usahihi wa asilimia ngapi kwenye unajimu ktk maisha ya mwanadamu..?

4.elimu ya unajimu inaamini nini juu ya maisha ya mwanadamu..?

5.na je,unajimu unaamini nini juu ya chanzo cha uhai ulimwenguni..?
Swali la 3; kuna usahihi asilimia ngapi kwenye unajimu katika maisha ya mwanadamu.

Jibu; kwenye unajimu tunajifunza namna ya kuangalia uwezekano wa kutokea jambo. Ni kama hesabu za Probability tu.

Ili unielewe vyema zingatia mfano huu ufuatao, tuchukulie mfano wa sayari inapofanya transit katika houses mbalimbali.

Sun (Jua) linapofika kwenye nyumba namba 9. Hii ni nyumba inayohusu mambo haya; safari za mbali, elimu ya chuo kikuu, Dini, machapisho, sheria. Hapo nimetaja kwa uchache.

Sasa sun inapofika kwenye nyumba hiyo tunasema inakua inaangazia mambo yaliyo kwenye nyumba hiyo mpaka pale itapoondoka kwenda nyumba inayofuata. Na wewe binadamu unakua umefocus sana kwenye hayo mambo kwa kipindi hicho chote.

Lakini wewe ndie utakaeamua ujishughulishe na jambo gani katika hayo niliyotaja katika nyumba namba 9. Ndio maana tunasema ni probability. Kwa sababu lolote linaloweza likatokea kati ya hayo niliyoyaorodhesha kwenye hiyo nyumba namba 9.

Hivyo basi unaweza ukasafiri, unaweza ukaandika kitabu ( machapisho), unaweza ukawa muda mwingi upo mahakamani (sheria), unaweza ukawa muda mwingi kwenye nyumba za ibada (Dini).

Kwa hiyo hatusemi utafanya jambo gani maalum ila tunaweza kusema unaweza ukafanya moja wapo kati ya hayo niliyotaja.

Kwa hiyo usahihi hauwezi kuwa 100% katika jambo moja tu. Ila unaweza ukawa 100% kati ya hayo ntakayokutajia lazima utafanya mojawapo.

Naendelea kukujibu maswali yaliyobaki.
 
Aries anakua first zodiac sign kwa sababu ya nature yake. Aries ni leader by nature. Na haogopi ku take action katika mazingira yeyote yale.

Hiyo lakini kwa universal chart, kumbuka kila mtu ana chart yake ambayo ni tofauti na mwingine. Kuna mwingine chart yake haianzii na Aries, inaweza ikaanza hata na Pisces ambayo ni sign ya mwisho.
Mkuu kna aina ngapi za Aries? Na kwenye hizo aina ni yupi mwenye strong aries nature?
 
Mkuu kna aina ngapi za Aries? Na kwenye hizo aina ni yupi mwenye strong aries nature?
Aries ni moja tu, ila anaji express tofauti kutokana na huyo Aries yupo katika nyumba ipi? Na anapokea energy kutoka kwa sayari gani.

Kwa mfano Aries aliye katika nyumba namba 4, anapokea energy kutoka kwa sayari ya Uranus anakua tofauti na Aries aliye nyumba namba 6 anayepokea energy kutoka kwa Mars. Hawa wote ni Aries lakini wana act tofauti lakini nature yao huwa inafanana.
 
Niambie kuhusu yule aliezaliwa tarehe 21 march
 
Niambie kuhusu yule aliezaliwa tarehe 21 march
Huyo ni Aries, lakini ili tujue ipo kwenye nyumba ipi na mambo mengine kukuhusu, itabidi tujue ulizaliwa muda gani? Mji ulozaliwa na tarehe, mwaka na mwezi.

Pia nicheki WhatsApp kwa mambo hayo. 0782 82 11 77.
 
Mkuu nikikucheki watsapp kwa issue hii kuna mlungula utahitajika?
 
Mkuu nikikucheki watsapp kwa issue hii kuna mlungula utahitajika?
Hata kama ingekua bure nisingefanya hapa.

Halafu mbona kama una take easy tu , unajua kazi hiyo unayoitaka inachukua page ngap? Ama inakuchukua muda gani kuifanya.

Shida ni kwamba watu wengi hawaelewi haya mambo namna yalivyo.

Ngoja nikutafutie kitu kama hicho kwenye file zangu halafu nikuwekee hapa uangalie imechukua kurasa ngapi.

Huo ni utabiri alifanyiwa Bill Clinton. Rais wa Marekani. Alifanyiwa na wazungu wenzie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom