Elimu ya Ujasiriamali bure

MINA BALINZI

Member
Nov 30, 2016
7
20
Ujasiriamali unafundishwa karibia kila shule/chuo kwa lengo la kuwafanya wahitimu waweze kujitengenezea ajira/kujiajiri kwa namna mbalimbali. Hivyo karibu kila mhitimu wa chuo anaelewa au amesoma ujasiriamali. Lakini kwanini ajira bado ni changamoto kubwa kwa vijana?

Pata majibu kwenye article ya the Mchumi Diagram kwenye tovuti inayoonekana hapo kwenye picha. Ukikwama ku-access hiyo article you can follow me inbox for more assistance.

Mchumi Diagram.jpg
 
Top Bottom