AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
Umeonyesha jinsi ulivyo kitumbua. Mkenya akiona comment kama yako ndo hutudharau zaidi. Elimu kwako ni kuongea lugha ya wazungu vizuri! Hovyo kabisa.Unajua Wakenya wanafikia hatua ya kuona watanzania wapo chini kielimu wanapoona statements kama. " watch it..!! "
Wanasema kabisa kwamba Mkulu wenu lugha imemkalia kushoto..!!
Mara nyingine kukubali ukweli sio vibaya ukweli ni kwamba huwezi linganisha Darasa la Nane wa Kenya na Form Four ya hapa TanzaniaUmeonyesha jinsi ulivyo kitumbua. Mkenya akiona comment kama yako ndo hutudharau zaidi. Elimu kwako ni kuongea lugha ya wazungu vizuri! Hovyo kabisa.
Tatizo la kwetu ni ile kama una PhD ya Law kama Mwakyembe basi wewe hujui kitu kingine nje ya hicho kitabu huwezi kujielezea huwezi kupambanua mambo na huna General knowledge. Ndio maana Lipumba ni Profesa lakini anafanya mambo ya hovyohivi mtu mwenye phd ya kenya, anaweza kuwa na uelewa mdogo kama naniliu alivyo?
mwakyembe sio kwamba haelewi, walau yeye kasoma udsm na akaenda kusoma pia ujerumani kama sikosei. mwakyembe anaelewa sana ila si unajua tena mkate, ana watoto hapo wengine watakuwa wanasoma ulaya, ukifanya mchezo utakosa hela na hawezi tena kurudi udsm kufundisha na hapohapo bungeni hana uhakika kwasababu kule kyela 2015 alipita kwa ngekewa tu, alikuwa anapigwa chini na hana uhakika 2020 kama atapata ubunge tena. hivyo lazima atafute akili ya kupata pesa huko uwazirini walau asevu za kutumia kwenye kampeni au la akishindwa atumie kama mtaji kuanza maisha mapya 2020.Tatizo la kwetu ni ile kama una PhD ya Law kama Mwakyembe basi wewe hujui kitu kingine nje ya hicho kitabu huwezi kujielezea huwezi kupambanua mambo na huna General knowledge. Ndio maana Lipumba ni Profesa lakini anafanya mambo ya hovyo
mkuu kuna uhusiano wa elimu na lugha..... ssa tunajua wote medium of instruction mashuleni ni english si ndio..... ssa kma medium of instruction huijui utawezaje kutuaminisha kuwa unakielewa kile unachofundishwa?? yaani un degree ya sheria ila hujui shall na will inatofauti gani je tutaaminije unaweza kuchambua miswada ya kisheria yenye vipengele kama " under this section the government shall"???? eti mkuuUmeonyesha jinsi ulivyo kitumbua. Mkenya akiona comment kama yako ndo hutudharau zaidi. Elimu kwako ni kuongea lugha ya wazungu vizuri! Hovyo kabisa.
eeeh na hyo ni kwa sababu wanajua quality ya elimu yao ni kubwa kuliko yetu so hilo sio tusi zaidi iwe changamoto kwetu kujirekebisha tulipokoseamadaktari wa kenya, wamewaita madaktari wa tz "low rated doctors" wakimaanisha ni madaktari ambao hawajasoma vizuri kama walivyosoma wao, au madaktari ambao elimu yao (pamoja na kwamba wapo level moja) ni ya chini kwasababu tu walisoma tz hawakusoma kenya. hili ni tusi kubwa mno.
mkuu curicullum ya kimakaratasi inakuwa haina maana kma huwezi iapply kwenye field..... ssa hapa TZ unakuta mtu anahyo degree ya medicine ila application yake ni tofauti na mkenya atakavyoiapply..... unakuta wenzetu hta kwenye daladala anasoma novel hivyo anaongeza ujuzi nje ya elimu darasa ssa huyo akiingia field utalinganisha na degree holder wa medicine ya MUHAS???Kwan wakenya curriculum yao kwa watu wanaosoma medicine iko tofauti na ya kwetu?kama ndo hvyo,mbona pale kcmc wamejaa wagonjwa toka kenya,kwa nin hawakwenda kutibiwa kenyatta hospital?
Na kama elimu yetu ni mbovu,hao wakenya,wanyarwanda na waganda waliojazana hapo udsm wamekuja kutafuta nini Tanzania kama sio elimu?
Me binafsi sion kama wakenya wanatudharau,ila sisi watanzania wenyewe ndo huwa tuna tabia ya kujidharau kwa kila jambo,hatuna uzalendo na taifa letu kabisa.