Elimu ya Tanzania kadri siku zinavyokwenda inazidi KUSHUKA Thamani

Ndugu WATANZANIA UNAFIKI TUTAACHA LINI, kwa hiyo waliosama 80s, reasoning yao iko juu
Hapa tunazungumzia facts miaka ya nyuma mwanafunzi walikuwa ni manual generation wa sasa ni automatic kila kitu walikuwa wanajifunza kivitendo mfano lasaba wa zamani wengi kuandika barua aina zote wengi walijua tena vizuri ,kuiweka chati ya table wengi walijua ,kuandika nsha wengi walijua,kulima bustani wengi walijua,utangaji wa mashairi wengi walijua tena vizuri to fauti na sasa .automatic generation ukienda shule unapewa fedha ya kula tena unabembelezwa miaka hiyo asubuhi na mapema shule anatembea umbali mrefu kwa mguu tena wengine peku,viboko vya maana kutoka kwa waalimu ukichelewa na namba lazima reasoning capacity iwe juu kwa life aina ile ni jkt tosha
 
Waliosoma miaka hiyo na waliokua the best ni hili kundi: prof Ndalichako, prof kabudi, Dr Bilal, kassim majaliwa , NDUGAI embu tuanzie hapo kwenye reasoning capacity.
 
Zama zipi unamaanisha elimu ilikua bora? Kutumia MS word, Exel na Spss kinaweza kua kigezo kupima ubora wa elimu
 
Elimu ya Tanzania imekuwa inashuka thamani kila kukicha zamani ukikuta msomi ni msomi kweli hata kama ana diploma anaheshimika na anajua nini anachofanya
Miaka hiyo form four tu unaheshimika mtaani
Ila siku hizi wasomi wamekuwa wengi na hakuna wanalojua Kichwani wapo empty kabisa unakuta mtu ana div one form four na form six chuo GPA ya 4.0 ila Mpe kazi sasa afanye hakuna analojua
Sijui Elimu yetu inaelekea wapi tunazalisha wasomi wengi wasiokuwa na kitu Kichwani kwenye practical work ni zero hadi unajiuliza huyu degree kaipataje na hajui chochote
Wasomi wamekuwa wengi ila hawajitambui kabisa kutwa kulia lia Ajira hakuna na ukiwapa kazi hakuna wanachofanya
Msomi mwenye degree ya GPA ya 4.0 hajui kutumia MS Excel wala kuingiza data kwenye SPSS
Tanzania wasomi wengi ila ni maboga yasiokuwa na faida yeyote hile

Elimu ya Tanzania bora irudi kama miaka ya zamani bora form four wamalize 10 ila ni Vichwa kuliko form four wamalize 1000 wasiokuwa na faida yeyote na wasiokuwa na skills zozote zile

Serikali iliangalie sana hili Elimu yetu imedrop sana imekuwa useless sana

Serikali ibadilishe mitaaala iwe 60% iwe practial na 40 % iwe theory hii itasaidia sana kumjenga mwanafunzi kuwa na uwezo wa kufanya kitu practial kuliko kumezeshwa notes kibao then hakuna analojua akienda kufanya kazi

Nilichogundua 75% ya Wanafunzi Vyuoni wanasomea vitu ambavyo havikuwa ndoto zao ndo maana hawana passion kabisa na faculty wanazosomea
Unakuta mtoto anataka kusomea mambo ya Welding then mzazi anamlazimisha akasome HR unategemea hapo akimaliza akimalza chuo umpe kazi ya uHR unadhani atafanya ipasavyo zaidi ya kulipua mambo

Hii kitu ya kuchagulia mwanafunzi kitu cha kusomea nikibaya sana kinadidimiza Elimu yetu

Nashindwa kukubaliana na wewe moja kwa moja wala kukukatalia kwakua , nchi yetu kama Taifa linalotafuta kusonga mbele na linalopitia viongozi wa aina mbali mbali lipo katika mapambano ya kielimu

Ni kweli kipindi cha nyerere elimu yetu naweza kusema ilikua imara sana kwa kipindi chake maana ilimjengea mwanafunzi uwezo wa ku apply kile alichokisoma darasan katika mazingira yake( kulikua na shule za kilimo,ufundi,biashara nk) na zilikua full kwa kila kitu kulingana na shule

Badae tukahama,tukahamia katika mfumo unaitwa content based na hapo ndipo matatizo yalipoanzia na hasa pale shule za tarafa zilipoanza kisha shule za kata maana kipindi hicho shule zilikua nyingi na wanafunzi wengi ila walimu pamoja na vifaa vya kufundishia havikuwa vinatosha na baadhi ya mazingira hali ikawa mbaya zaidi

Hivyo ikawa ni mwendo wa kukalilishana tu yaani theory tu na kumeza kisha kufaulu mitihani hivyo tukapata wasomi wengi ambao hawako stable katika kuapply walichojifunza ila wanaweza kufanyia kazi wakipewa kazi lakini kufikiria nje ya mstari kwao ni ngumu kwakuwa elimu waliyoipata iko hivyo.

Lakini serikali kupitia vyombo vyake miaka ya karibuni imebadiri mtaala na kurudi katika competence based curiculum ambayo itawajengea wanafunzi uwezo wa kuapply walichojifunza,changamoto ipo katika kutoa semina kwa walimu ili waendane na mtala mpya yaani waache kuwakalilisha watoto kama awali ila wawajengee uwezo wa kutenda.

Changamoto zipo lakini tunapiga hatua kidogo kidogo ni kinachokwamisha elimu yetu ni siasa,elimu yetu imeingiliwa na siasa mno
 
Wangetakiwa waanze kubadilisha mfumo wa mitihani kwanza.. Wakibadilisha jinsi wanavyotunga na kusahihisha mitihani basi na walimu watafuata line..

As long as mitihani ipo vile vile basi na walimu wataendelea kuwakaririsha tu wanafunzi wao maana wao wanachotaka ni kufaulisha, regardless of the method used.

Tafuta mitihani ya Cambridge / Edexcel Syllabus utaona utafauti mkubwa sana.. Ile mitihani ya wenzetu ata ukikariri vipi.. Kama hauna uelewa itakupa shida kufaulu.

Bado tuna safari ndefu. Kwenye swala la elimu Tanzania bado sana.
 
Mkuu mtu mpe kazi vitu ambavyo hajui mwelekeze then akishindwa au kupuuzia kufanya ndio ujaji elimu yake. Kumbuka shule hatujifunzi kila kitu hivyo inaweza tokea mtu asijue kutumia hizo Microsoft
 
Elimu ya Tanzania imekuwa inashuka thamani kila kukicha zamani ukikuta msomi ni msomi kweli hata kama ana diploma anaheshimika na anajua nini anachofanya
Miaka hiyo form four tu unaheshimika mtaani
Ila siku hizi wasomi wamekuwa wengi na hakuna wanalojua Kichwani wapo empty kabisa unakuta mtu ana div one form four na form six chuo GPA ya 4.0 ila Mpe kazi sasa afanye hakuna analojua
Sijui Elimu yetu inaelekea wapi tunazalisha wasomi wengi wasiokuwa na kitu Kichwani kwenye practical work ni zero hadi unajiuliza huyu degree kaipataje na hajui chochote
Wasomi wamekuwa wengi ila hawajitambui kabisa kutwa kulia lia Ajira hakuna na ukiwapa kazi hakuna wanachofanya
Msomi mwenye degree ya GPA ya 4.0 hajui kutumia MS Excel wala kuingiza data kwenye SPSS
Tanzania wasomi wengi ila ni maboga yasiokuwa na faida yeyote hile

Elimu ya Tanzania bora irudi kama miaka ya zamani bora form four wamalize 10 ila ni Vichwa kuliko form four wamalize 1000 wasiokuwa na faida yeyote na wasiokuwa na skills zozote zile

Serikali iliangalie sana hili Elimu yetu imedrop sana imekuwa useless sana

Serikali ibadilishe mitaaala iwe 60% iwe practial na 40 % iwe theory hii itasaidia sana kumjenga mwanafunzi kuwa na uwezo wa kufanya kitu practial kuliko kumezeshwa notes kibao then hakuna analojua akienda kufanya kazi

Nilichogundua 75% ya Wanafunzi Vyuoni wanasomea vitu ambavyo havikuwa ndoto zao ndo maana hawana passion kabisa na faculty wanazosomea
Unakuta mtoto anataka kusomea mambo ya Welding then mzazi anamlazimisha akasome HR unategemea hapo akimaliza akimalza chuo umpe kazi ya uHR unadhani atafanya ipasavyo zaidi ya kulipua mambo

Hii kitu ya kuchagulia mwanafunzi kitu cha kusomea nikibaya sana kinadidimiza Elimu yetu
Inamaana tunashindwa kuhesabu chenji sababu ya kushuka kwa elimu! Hata chenji ya Rada ilitushinda kuhesabu. Kumbe Mbatia ameliona hilo.
 
Mtafute graduate wa SUA mkabidhi Computer mpe kazi . Nakumbuka kuna wakati naajiriwa kuna mdada tulikuepo intake moja ya ajira yeye aligraduate Teofilo kisanji. Yeye Mwl ana degree Ila Mimi na fani nyingine kutoka SUA . Alikuepo hajui kutumia computer kabisa ilikuepo.
Aha
 
Hapa tunazungumzia facts miaka ya nyuma mwanafunzi walikuwa ni manual generation wa sasa ni automatic kila kitu walikuwa wanajifunza kivitendo mfano lasaba wa zamani wengi kuandika barua aina zote wengi walijua tena vizuri ,kuiweka chati ya table wengi walijua ,kuandika nsha wengi walijua,kulima bustani wengi walijua,utangaji wa mashairi wengi walijua tena vizuri to fauti na sasa .automatic generation ukienda shule unapewa fedha ya kula tena unabembelezwa miaka hiyo asubuhi na mapema shule anatembea umbali mrefu kwa mguu tena wengine peku,viboko vya maana kutoka kwa waalimu ukichelewa na namba lazima reasoning capacity iwe juu kwa life aina ile ni jkt tosha
 
Waliosoma miaka hiyo na waliokua the best ni hili kundi: prof Ndalichako, prof kabudi, Dr Bilal, kassim majaliwa , NDUGAI embu tuanzie hapo kwenye reasoning capacity.
Achana na hao janjq janja
 
Wangetakiwa waanze kubadilisha mfumo wa mitihani kwanza.. Wakibadilisha jinsi wanavyotunga na kusahihisha mitihani basi na walimu watafuata line..

As long as mitihani ipo vile vile basi na walimu wataendelea kuwakaririsha tu wanafunzi wao maana wao wanachotaka ni kufaulisha, regardless of the method used.

Tafuta mitihani ya Cambridge / Edexcel Syllabus utaona utafauti mkubwa sana.. Ile mitihani ya wenzetu ata ukikariri vipi.. Kama hauna uelewa itakupa shida kufaulu.

Bado tuna safari ndefu. Kwenye swala la elimu Tanzania bado sana.
Kabisa
 
Back
Top Bottom