Akidu
Member
- Sep 19, 2022
- 47
- 76
Hakika hili limekuwa ni gumzo kati ya miaka kadhaa ya nyuma mpaka sasa ambapo elimu ambayo imekuwa ikitolewa haina mashiko ya kumnufaisha muhusika kufikia kile anachokipambania ni kwasababu elimu inayotolewa imejikita zaidi katika kupima uwezo wa kukalili kile kilichoandikwa na sio uwezo wa uelewa wa nadharia ya vitendo kwa mwanafunzi anayehitajia elimu hiyo lakini hata kwa walimu wanaotoa elimu hiyo wamerithi kama wanavyorithisha kukariri kile kilichoandikwa
Kwa masikitiko makubwa imepelekea kudidimia na kupotea kwa radha halisi ya mustakabari wa elimu yetu
Ikiwa serikali italipembua na kuritafakari hili basi kwa umoja wetu tutapiga hatua zaidi ya kasi ya roketi angani.
Kwani ipo dhahiri kuwa hatuwezi kuyafikia malengo ikiwa uwezo wetu wa kufikiri upo chini zaidi ya uwezo wa kukalili mwandishi mmoja aliwahi kusema
"Ukiruhusu akili ndogo kuitawala akili kubwa utaambulia mabua"