Excellent Training Center
Member
- Aug 9, 2017
- 65
- 24
Asante, hata kama ulipata Division zero una fursa ya kurudia mtihani kwani namba yako ya NECTA bado inakuwa valid daima, kwa mawasiliano zaidi tupige 0692755311 au 0718 949 610 au fika ofisini kwetu Shule ya sekondari zanakiMkuu naomba unisaidie vigezo vya kurudia mtihani kidato cha nne.
Niliwai kusikia wale waliopata zero kidato cha nne huwa hawatambuliwi na necta kwaiyo hawaruhusiwi kurudia tena mtihani wa kidato cha nne.ni kweli eti hili mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana ndugu, utaratibu huu ni mzuri sana binafsi ni mtaaluma katika fani ya Elimu ya Watu Wazima (holder for bachelor degree in Adult and Continuing Education and Master candidate at Open University)Ni mfumo Mzurii mno kwa watu ambao wanauhitaji hongera Sana hii itawaongezea wengi maarifa mimi pia nime pita mfumo huu Nika soma fom one ad six kwa miaka mitatu na nusu tuu Nika timiza ndoto zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kitu kizuri Sana japo wengi hawajatambua umuhimu wa hii njiaAsante sana ndugu, utaratibu huu ni mzuri sana binafsi ni mtaaluma katika fani ya Elimu ya Watu Wazima (holder for bachelor degree in Adult and Continuing Education and Master candidate at Open University)
Asante sana ndugu, utaratibu huu ni mzuri sana binafsi ni mtaaluma katika fani ya Elimu ya Watu Wazima (holder for bachelor degree in Adult and Continuing Education and Master candidate at Open University)