Richard mbwaga
Member
- Aug 27, 2016
- 27
- 8
Hahahahaaaaa wadudu sio viumbe hai?Sayansi ya wadudu sio viumbe hai!
Ni viumbe hai...hata mmea ni kiumbe hai pia...entomology ni specific kwa waduduHahahahaaaaa wadudu sio viumbe hai?
Na mimi ndio nikashangaa entomology ni sayansi ya viumbe hai kuanzia lini?Sayansi ya wadudu sio viumbe hai!
haahahaahaaa mtoa thread ana matatzo.Na mimi ndio nikashangaa entomology ni sayansi ya viumbe hai kuanzia lini?
Huyu hakuangalia etymology ya entomology!