bahati ndegesela
Member
- Aug 3, 2018
- 19
- 16
Mara nyingi tumekua tukisikia malalamiko kwa watu wengi wakisema "sina bahati ya kuwa tajiri" "sipendi kuzungumzia maswala ya pesa" "hakuna ajira" lakini Leo hii ndugu yangu nakuja kukupa elimu ya kifedha na siri nzito wanazozitumia matajiri kujipatia pesa nyingi na mwishowe kutokuhangaika tena na maswala ya kifedha.napenda kusema hivi,kwanza ifahamika kuwa pesa siyo kile tunachokiona na kukitazama ama kukigusa mikononi mwetu badala yake pesa ni kitu ambacha huwezi kukigusa wala kukiona kwani pesa ni wazo(idea) kwahyo wazo lako zuri kuhusu maswala ya pesa au biashara ndivyo pesa yako nzuri ilivyo na ndivo utavo weza kushindana na kuwa tajiri mkubwa kwenye uwanda wa biashara ..............(64+56) itaendelea